Mkurugenzi mtendaji wa Kituo Cha UTUKUFU FM, Asema kituo kitaendelea kushirikiana na jamii .
HABARI
Published on 07/10/2024

Mkurugenzi mtendaji wa UTUKUFU FM, mhe: Elikana Felix Batona, amesema Kituo hicho kitaendelea kushirikiana na jamii pamoja na kuhakikisha kunakuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kinaunga mkono jitihada za selkali kwenye maendeleo, kikuhusika kuhamasisha na kuhimiza jamii kutii na kuheshimu Sheria za nchi ili kuendelea kuliweka taifa hili katika Amani na mshikamano ambao umeshuhudiwa kwenye miongo kadhaa katika taifa la TANZANIA, hayo ameyasema Leo katika kikao Chake Cha pili na wafanyakazi wote wa Utukufu Fm ambapo alikuwa akijadiliana na wafanyakazi wote kuhusiana na kutii Sheria na kanuni za maadili ya uandishi wa habari, 

By Utukufu Media

Comments
Comment sent successfully!