IBADA IK LIVE KUPITIA APPLICATION YETU YA UTUKUFU FM, NA ONLINE RADIO BOX
HABARI
Published on 15/09/2024

Leo tarehe 15 Sep 2024, Ibada iko live kupitia platform zetu zote za utukufu Fm, Unaweza kufatilia ibada ya miujiza na baraka za kipekee kutoka kanisa la FPCT Ulongoni B Church, Ambapo leo Mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo Mch. Sebastian Msafiri wa Ndama, atakuwa na somo ambalo linasema "MAADUI WALIOMO KWENYE MWILI NA NAFSI" Njoo ushiriki ibada ya miujiza ambayo itakufanya ujue maadui ambao umekuwa nao kwa mda mrefu bila kuwajua. Ubarikiwe sana 

fatilia matangazo yetu kupitia website yetu ya www.utukufufm.com

au Online Radio Box kwa jina la UTUKUFU FM, au Download application ya Utukufu fm, kwenye Google playstore na Google App store.

Prepared by @UtukufuMedia

Comments
Comment sent successfully!