TANGAZO KUTOKA EVANGELISM MEDIA GROUP FOUNDATION (EMGF)
HABARI
Published on 25/07/2024


GHARAMA ZA KURUSHA VIPINDI HEWANI


UTARATIBU WA VIPINDI NA GHARAMA ZAKE
- VIPINDI VYA KIJAMII
- VIPINDI VYA KIBIASHARA
- VIPINDI VYA KIROHO

1. VIPINDI VYA KIJAMII
Ni vipindi vyote ambavyo havizingatii maslahi ya kibiashara au kisiasa, vipindi hivyo gharama zake zinapangwa kulingana na uwingi wa mda wa kurusha vipindi hivyo.

2. VIPINDI VYA KIBIASHARA
Ni vipindi ambavyo vinazingatia maslahi ya kibiashara, vikijumuishwa na matangazo ya kibiashara, vipindi vya kibiashara navyo gharama yake inapangwa kulingana na uwingi wa muda wakurusha vipindi hivyo.

- Kwa mfano;
Matangazo yaliyo andaliwa kwa mfumo wa jingle gharama zake zinapangwa kuanzia miezi mitatu{3} ambayo gharama yake ni Tsh 240,300/=.

Matangazo yaliyo andaliwa kwa mfano wa vipindi nayo pia gharama zake zitapangwa kulingana na uwingi wa kurusha vipindi hivyo.

A. Kipindi cha biashara chenye wastani wa dakika 30 Gharama yake ni Tsh 250,000/=
B. Kipindi chenye wastani wa saa (1Hours) gharama yake ni Tsh 450,000/=
C. Kipindi chenye wastani wa masaa wawil (2hours) gharama yake ni Tsh 850,000/=.

3. VIPINDI VYA KIROO
Ni vipindi vya kiroho vyote vikijumuishwa na matangazo ya Ibada, Mikutano, Kurusha matangazo ya moja kwa moja, mahubiri, Mafundisho, Maombi na Maombezi.
A. Matangazo ya ibada yaliyo tengenezwa kwa mfumo wa jingle yatarushwa kwa miezi 3 kwa gharama Tsh 120,000/=.
B. Matangazo ya mikutano kwa mfumo wa jingle yatarushwa kwa wiki kwa gharama ya Tsh 50,000.
C. Matangazo ya moja kwa moja, yaani Live broabcast kanisani gharama zake zitakuwa ni Tsh 250,000/=
D. Matangazo ya moja kwa moja, yaani Live Broadcast kwenye mikutano gharama zake zitakua Tsh 350,000/=
E. Kuhubiri Kwenye Kituo chetu moja kwa moja, Yaani Live Preaching, Gharama zake ni Tsh 50.000/= kwa Saa moja


VITUO VYETU TUNAVYOTUMIA KURUSHA MATANGAZO
A.RADIO
B.ONLINE TV
C.OFFICIAL PLATFORM

1. RADIO (Utukufu Fm)
- Inayopatikana kwenye website yetu ya www.utukufufm.com
- Online redio Box kwa jina la Utukufu Fm
- Google Playstore, Google app store, Web app, iOs, PC kwa jina la Utukufu Fm

2.ONLINE TV (UTUKUFU ONLINE TV)
Inayopatikana kwenye youtube channel yetu kwa jina la utukufu online tv


3. OFFICIAL PLATFORM
- Twiter: utukufu fm
- Facebook page : Utukufu online news
- Linkedin: Utukufu fm
- Instagram: Utukufu_mediatz


NB: Gharama Hizi ni Ofa itakayodumu kwa Miezi Mitatu na Baada ya hapo Zitapangwa Bei Mpya. Na ofa hizi ni maalumu kwa wale Waliojaza form za maombi ya kurusha vipindi kwenye kituo chetu, ambayo gharama yake ni Tsh 100,000/=

 

Comments
Comment sent successfully!