Watangazaji wa UTUKUFU FM, waahidi kufanya matangazo Kwa ubunifu wa Hali ya juu
BURUDANI
Published on 13/09/2024

Watangazaji wa Utukufu Fm, Leo wamesema kuwa watafanya Kila linalowezekana kurusha matangazo Yao Kwa ubunifu wa Hali ya juu, hayo wameyasema katika kikao kifupi walichofanya na mkurugenzi mtendaji wa Kituo hicho Bw. Elikana F. Batona, wakati wa kutathimini namna kituo hicho kinavyoendelea, pia mkurugenzi huyo amewapongeza watangazaji wote na wandishi wa habari wanahudumu kwenye kituo hicho kuwa wanafanya kazi nzuri sana, na wamekuwa chachu ya ongezeko la wasikilizaji kutoka Kila Kona ya Dunia, na kuahidi kuwa kituo hicho kitaendelea  kuthamini mchongo wa kila mfanyakazi anayehudumu kituoni hapo.

Imeandaliwa na Utukufu Updates News

Comments
Comment sent successfully!